kweli via chapter. Powered by Blogger.

BLOG ZINGINEZO

Monday, August 11, 2014

DENNY CHAPTER: NEW TRACK KALA JEREMIA FEATURING MARY LUCAS

Posted by DENNIS JUMA  
Tagged as:
1:53 AM

Sunday, June 1, 2014

KWA WALE WAPENZI WA VICHEKESHO, SIKILIZA HIKI HAPA CHA MKUDE SIMBA NA HOMA YA DENGUE.

Posted by Unknown  
Tagged as:
10:25 AM

Posted by Alfred Mlonganile on Sunday, June 1, 20140

PREZOO AENDELEA KUTHIBITISHA KWAMBA ANA HELA MBAYAAA, HIKI NDO ALICHOKIFANYA

Posted by Unknown  
Tagged as:
10:24 AM

Posted by Alfred Mlonganile on Sunday, June 1, 20140
pREZZOCMB

Baada ya story za hapa town kuzagaa kuwa Ommy dimpoz amefanya shopping ya maana huko majuu, ila ishu ilikuwa pale alipofanya matumizi ya viatu aina ya sneakers yaliyokuwa yanalingana na kipato(mshahara) cha mtu wa kati cha miezi mitatu hivi. hili jipya sasa kwa upande wa msanii wa kenya Prezzo baada ya kufanya kufuru zaidi. Hivi karibuni Prezzo ameonekana akivalia sneakers kutoka kwa designer maarufu wa kimataifa wa viatu ajulikanaye kama Christian Louboutin, viatu hivyo vina thamani ya shilingi milioni mbili = (2,000,000/-), viatu adimu kuvikuta kwenye maduka yetu haya ya kawaida ya kitaa, tukio lilowaacha mashabiki wengi mdomo wazi pale walipogundua haswa thamani halisi ya viatu hivyo.

Prezzo amezoeleka kuwa ni mtu wa matanuzi ya makubwa sana, kuanzia kubook private plane kuzunguka tu, kutoka mji mmoja hadi mwingine, kununua magari ya kifahari na mengine mengi ambayo kwa msanii wa kawaida imekuwa bado ni ndoto. Ila kwa msanii prezzo inasemekana utajiri wake si tu wa kutegemea muziki peke yake, mbali na muziki anafanya biashara nyingi tu, ikiwemo uuzaji wa madini.

ANGALIA HABARI PICHA YA SHOW YA KILI MUSIC TOUR HUKO MWANZA.

Posted by Unknown  
Tagged as:
10:23 AM

ANGALIA HABARI PICHA YA SHOW YA KILI MUSIC TOUR HUKO MWANZA.

Posted by Alfred Mlonganile on Sunday, June 1, 20140
DSC_0371

Kili tour bado inaendelea na list ndefu ya wasanii wamewafurahisha wakazi wa Mwanza 88.1 kwa show kali jana May 31 2014 ikiwa ni Tour ambayo inawajumuisha washindi na washiriki mbalimbali wa tuzo za KTMA 2014.

DSC_0157
DSC_0044
Watangazaji Zembwela na Dullah wa East Africa radio wakifanya yao.
DSC_0059
DSC_0072
DSC_0075
DSC_0083
DSC_0097
Rich Mavoco
DSC_0138
DSC_0157
Ommy Dimpoz na V Money
DSC_0172
Christian Bella
DSC_0180
DSC_0183
DSC_0205
DSC_0207
DSC_0348
DSC_0370
DSC_0371
IMG_5237
IMG_5251
IMG_5287
IMG_5290
IMG_5361
Meneja George Kavishe na team yake
IMG_5388
Asante kwa ripota wa nguvu Shafiq alietuma hizi picha, unaweza kujiunga nae kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA

Tuesday, May 6, 2014

FID Q_SIHITAJI MARAFIKI VERSE LYRICS

Posted by Unknown  
Tagged as:
10:23 PM

    SIHITAJI MARAFIKI

Machizi sikusoma nao, tulikutana tu mtaani/ udogoni sikucheza nao lakini ndo machizi wa ukubwani X2/


haijalishi ulikua na wangapi bali wangapi uko nao..washkaji ambao... kosa lako lao wakati hauna mafao/wanaokufikiria wewe muda ambao/ wenzao walionao wanafikiria wengine ndo wanao/now
kupata washkaji ukiwa na pesa... ni rahisi/
kuwapata na hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi mie sikufichi sihitaji urafiki na usupastaa/ukihit ndo unang'aa.. upishwe useat kwenye bar,upewe beat na Jr../ kitu ambacho haikuwa rahisi kipindi fid  ni underground/sikuhizi mabinti wanaomiss ni walionidiss mie sio mdau/
wanakubali mie ni mkali wanataka  kuijua Mmwanza
ninayoitangaza nikiwa safari kama habari za kwanza/
U-N-I-T na prof Ludi walionifunza kukaza...
kwetu mbali.. sijui lini nitarudi? (C) Lokua kanza/
sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea


Verse 2;
na usupastaa huwa ni feki.. utakung'arisha ukiwa na Market/
utakupatia senti,utapita juu ya red carpet/
utageuka young & restless, utakupa wanawake/utakupa mafake brethrenz.. kisha utaenda zake/kwahiyo power its not permanent.. huwa ipo kwa muda tu/respect ur own conglomorete... fikiri kikubwa tu/masaa hayarudi nyuma kama muda wa kufuturu walioukataa utumwa wanastuka hawana uhuru/
wanazusha najiskia.. so im my own best friend/
sikia fidq anamsifia fareed ni bandidu sio Yes man/
naweza nikakata ringi kiasi cha kutopay attention, lakini sio tajiri wakuafford kuua true friendship/
tuweke siasa kando sababu kichwa kinanigonga/na hizi falsafa double double ajabu sio kinywa cha mjomba/
sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea



VERSE 3
rafiki wa kweli yukoje.. ni mkimya au anayechonga/yule aliyekupa jina?au pengine anayekuponda? anayezuia usidondoke au  anayesubiria kukuokota?/au ni yule ambaye ukimuudhi anakutusi kabla hajaondoka?/ hakuna adui mbaya ka rafiki yako mwenyewe ambaye hajui.. ka yupo nawe.. au yupo kinyume na wewe/bora adui.. kama hachachawi utaenda muomba akuelewe/
ka buibui.. naweka tandu mtaenda kando mzingue?/
kwani machizi wenyewe wako wapi ambao wanastahiki niwape vyeo/ inabidi tu uwaache wakuwatch kwenye kideo/unakula nao happy leo.. kesho wanamtaka mkeo/urafiki sitaki.. hauletagi maendeleo../
nilitamani kuwa mjamaa niwe genge kama nature/
wachache niliowafanya wakang'aa wanayaweka maisha yangu in danger/
sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea

LYRICS ZA WIMBO WA STAMINA FT FID Q_WAZO LA LEO

Posted by Unknown  
Tagged as:
10:15 PM


CLICK HAPA KU-DOWNLOAD MP3 


Intro...
U know what majani?? Nice to meet you Homie
Its MORO Town Baby,,, SHOROBWENZI
Verse 1. (Stamina)
Elimika Nyangema, maisha hayaendeshwi na nguo
Pesa ni vazi la mgema, haliwezi kuwa na mpasuo
Vaa uaminifu,tupa boksi la kondomu
Hip hop haijengwi na bifu,underground usijaze fomu
Maisha ni kujipanga, mganga usigawe irizi
Viongozi msizuie ganja, huku mnachukua ushuru wa rizz
Ridhiki  ina kamba, ivute ili ikupe noti
Mkulima rudi shamba,dec mbegu siku hizi hazioti
Maisha njia panda,mtembezi chagua pa kwenda
Uchumi vazi la bwanga,ukishuka uvishe suspenda
Shiba kwa nia,ukiwa mlafi wa malengo
Usikufuru we shukuru ukifaulu kila tendo
Punguza pupa,mpendaji uingie ndoani
Mapenzi yamevaa bukta,uswazi mapaja hadharani
Usilale kijinga,kwenye kitanda cha ushamba
Unaweza kuwa shabiki wa samba,na ukaishi mwembe yanga

Chorus. (Fid Q)
Hiki kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono
Ndomu usiyoiona,mpaka ukishafanya ngono
Neno la kuponya,lilokosa mdomo
Na hili bonge la ngoma,kwenu kwangu ni kama somo
{Hilo ndo wazo la leo}-inshu usingizi wa furaha,mzinzi jenga kibanda cha angaza utoe nasaha.
{hilo ndo wazo la leo}-usiishi kwa vikwazo,weka wazo kwenye vyanzo vyako-{hilo ndo wazo}

Verse 2. (Stamina)
Underground panga tenzi,ustar hauji kwa promo
Hakuna tajiri wa mapenzi,kapuku  punguza ngono
Bora uitwe mfalme jua,kwenye utawala wa kishamba
Mapenzi yakikusumbua,tafuta daktari wa kitanga
Vazi unaloishi,mwenyezi yeye ndio disegner
Shetani akikushawishi, mvute kwake kama dayna
Dunia duara,jitahidi uizunguke
Mla bata starehe hasara,,wekeza hadhi isishuke
Huna undugu na bakhersa,niaje aje unakula unga
Mateja wanahitaji sensa,taifa la kesho linavunda
Dogo jifunze,heshima sio upaparazi
Mwambie na dada ajitunze,mlango wake asiuache wazi
Kama unajijua ni mchoyo,basi usingoje kupewa
Tafuta pesa kwa moyo,sio kwa ushindi wa ngekewa
Sharo mpe salamu,the great braza kanumba
Mwambie bongo sio tamu,na lulu bado wamemfunga

Chorus (fid Q)
Hiki kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono
Ndomu usiyoiona,mpaka ukishafanya ngono
Neno la kuponya,lilokosa mdomo
Na hili bonge la ngoma,kwenu kwangu ni kama somo
{Hilo ndo wazo la leo}-inshu usingizi wa furaha,mzinzi jenga kibanda cha angaza utoe nasaha.
{hilo ndo wazo la leo}-usiishi kwa vikwazo,weka wazo kwenye vyanzo vyako-{hilo ndo wazo}

Verse 3. (Stamina)
Utamu wa ndafu ya harusi,sio wa ndoa we kilaza
Mbuzi atabaki mbuzi,hata mle hadi mkasaza
Nchi tayari imekonda,mwananchi tafuta ulaji
Life ngumu hadi omba omba,kidonda anafanya mtaji
ukipata mazuri,jipange kuikwepa hasara
kijana vazi la msuli,haliwezi kukuvisha busara
ukiishi kwa hisia,kila stone litakubanza
cha msingi ni kuweka nia,ujivue kuwa mtanza
kata ya kijiji,haibebi maji ya maendeleo
katibu tunza mkwiji,msuli ukishuka kimeo
uchumi umeshika tama,kwenye shavu la mlanguzi
raia usilaumu chama,shiriki kwenye uchaguzi
unaweza ukavaa kinga,ila ukafa kwa uaminifu
mzinzi usigawe ujinga,sambaza ujumbe wasifu
hakuna snitch kama pesa,ukiwa nae fanya vya maana
akiondoka atakutesa,utamsaka usiku na mchana

Chorus. (Fid Q)
Hiki kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono
Ndomu usiyoiona,mpaka ukishafanya ngono
Neno la kuponya,lilokosa mdomo
Na hili bonge la ngoma,kwenu kwangu ni kama somo
{Hilo ndo wazo la leo}-inshu usingizi wa furaha,mzinzi jenga kibanda cha angaza utoe nasaha.
{hilo ndo wazo la leo}-usiishi kwa vikwazo,weka wazo kwenye vyanzo vyako-{hilo ndo wazo}

SOMA LYRICS Z WIMBO WA GOZBY FT. VANESA MDEE & JUX_MONIFERE

Posted by Unknown  
Tagged as:
10:12 PM


Intro
Jux
Monifere my babeeeeee
Vanessa
Mshike mkono mshike mkono/ mfuate pale alipo mshike mkono
Mvute kisha mvute mkatike mkatike mkatike kisha mkatike

Chorus- Vanessa
You know it's you Monifere my baby
Just stay with me oh baba you dey go make me crazy X2

Verse - Gosby
I wanna show the world that you're my girl
Whatchu want I got you girl
Prada, Gucci, Fendi girl/usiniambie hupendi girl
I said I got this em paper girl/ kiss you in public I don't care
Touch you in public I don't care
Squeeze you in public I don't care you know why
Coz love is in the air/ hawana kitu wanaleta umbea umbea
I'm not doing ish zaidi ya kuwaombea/ Em bitches they like coco
Huh you need a beach I can you buy coco
I'm fabolous do you think I'm Loso
You thirsty I can get you cocoloso
Lets make love while we listenin' to Azonto let's go

Chorus
You know it's you Monifere my baby
Just stay with me oh baba you dey go make me crazy X2

Verse 2 - Vanessa
I don't wanna be just any girl
Save my number as baby girl
Material things they can't buy my world, take a dive in my ocean and find your pearls
I know you got that thing called paper boy
Kiss me in public/ I don't care
DP on BBM/ cause you care
Facebook status/ would you dare
You know why? I definitely know that you're my guy
Na hata wakisema kwamba najidai, I don't mind
I know they jealous cos we fly and we keep on elevating cos we on cloud nine
Peter Parker picked a pair of perfect pickles
That's how you perceive me baby, I know I'm your equal
Put your pride aside and tuck away your ego
Actually bring it back - I love the way we mingle

Chorus X2

Bridge - Vanessa
And if you spot that guy, u wanna claim him tonight
Mfuate pale alipo mshike mkono mvute kisha mkatike mshike
Mkono mkatike, viuno vikate, legeza kiuno kikate ayyy aiii!

Bridge - Gosby
And if I spot you gal mbona utakoma tonight
Nitavyokuingiza ndani halafu baby nitakuambia ukatike/ ebu fanya ukatike halafu baby ukatike ebu fanya ukatike eyaaaaa

Chorus X2

Jux
Eheeeeeeee
Moniferee my baby yeeeaaaah
Moniferee my baby ohoooo yeeaah mmmh
Monifere my baby aiiiiii yeaaaah

Pages

Proudly Powered by Blogger.
back to top