kweli via chapter. Powered by Blogger.

BLOG ZINGINEZO

Sunday, May 4, 2014

HABARI ZA PICHA ZIKIONYESHA UPOKEAJI WA TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS HUKU DIAMOND AKITINGA NA TUZO SABA PAMOJA NA FID Q ALITINGISHA JUKWAA KATIKA SAFU YA HIP HOP SAMBAMBA NA WEUSI

Posted by Unknown  
Tagged as:
4:25 PM

Diamond Platnumz ameendelea kudhihirisha kuwa yeye ni mkali na ni msanii namba moja kwa sasa nchini Tanzania baada ya usiku wa Jumamosi kuondoka na tuzo saba (7) kwa maana hiyo ameshinda katika kipengele alichotajwa (nominated).
Mkali Diamond alikuwa ameambatana na “mchumba” wake, Wema Sepetu, ambaye alifanya couple hiyo kung’aa zaidi katika ukumbi wa Mlimani City zilikofanyika shughuli hizo.
Wengine walio chukua tuzo zaidi ya moja ni Fid Q na Weusi.
IMG_8979
Chibwa mshindi wa tuzo ya Dancehall.
IMG_9190
Vanessa Mdee mshindi wa Wimbo Bora wa R&B – Closer.
IMG_9220
Mwanamuziki Fid Q, aka Ngosha akitoa machache baada ya kutangazwa mshindi wa mojawapo ya vipengele vya KTMA 2014.
IMG_9225
Kubwa lao, Diamond Platnumz akimwaga smile mbele ya umati ndani ya Mlimani City. Tuzo saba si mafanikio madogo kwa kipimo chochote kile mtu atakachoamua kutumia.
IMG_9284
Ankal, Muhidin Issa Michuzi (mwenye ribbon ya njano mkononi) kutoka “maeneo” naye alikuwepo kumkabidhi Christian Bella, Mtunzi Bora wa Mwaka – Bendi.

IMG_9289
Mtunzi Bora wa Mwaka – Bendi, Christian Bella, akinena machache baada ya kuibuka juu ya wenzie.
IMG_9297
Diamond Platnumz (mwenye goggles) akikabidhiwa tuzo na Martin Kadinda.
IMG_9318
Henrico, Producer bora wa Taarab. Kati ni Isha Mashauzi, pembeni mjomba Hashim Lundenga.
IMG_9330
Producer – Mtayarishaji bora wa wimbo wa mwaka), Man Walter.
IMG_9421
Diamond Platnumz alirudi kwa rangi na miondoko tofauti mara kadhaa. Hapa yuko mwenyewe, “mchumba” Wema Sepetu.
IMG_8980
IMG_8984
Dabo – Mshindi wa Wimbo bora wa reggae Niwe na Wewe.
IMG_8988
Washereheshaji, Mpoki na Shadee.
IMG_9021
Isha Mashauzi.
IMG_9054
Mashujaa Band.
IMG_9071
Luiza Mbutu – Muimbaji Bora wa Kike – bendi.
IMG_9073
Hamisa Mobeto, model aliyesimama sawa sawa akisoma mshindi.
IMG_9153
IMG_9165
Pamoja mpaka kieleweke. Wema na Diamond Platnumz, pumzi masikioni!!!
IMG_9171
A million dollar smile from the crowd puller, Wema Sepetu akiwa King wa miondoko inayokubalika ndani na nje ya Tanzania, Diamond Platnumz, hapa anakabidhi mzigo.
IMG_9182
Weusi, vijana walioshinda tuzo mbili. Kikundi cha mwaka cha kizazi kipya na Wimbo bora wa Hip Hop – Nje ya Box.
Tazama orodha nzima ya washindi wa tuzo hizo.
Wimbo bora wa mwaka
Number One – Diamond
Mwimbaji bora wa kike – kizazi kipya
Lady Jaydee
Muimbaji Bora wa kiume – Kizazi Kipya
Diamond
Muimbaji bora wa kike taarab
Isha Ramadhan
Muimbaji Bora wa kiume – Taarab
Mzee Yusuf
Muimbaji bora wa kiume – Bendi
Jose Mara
Muimbaji Bora wa Kike – bendi
Luiza Mbutu
Msanii Bora wa Hip Hop
Fid Q
Msanii Bora Chipukizi Anayechipukia
Young Killer
Rapa Bora wa Mwaka – Bendi
Furguson
Mtumbuizaji bora wa kike muziki
Isha Ramadhani
Mtumbuizaji bora wa kiume wa muziki
Diamond
Mtunzi Bora wa Mwaka – Hip Hop
Fid Q
Video Bora ya Mwaka
Number One – Diamond
Bendi ya Mwaka
Mashujaa Band
Kikundi cha Mwaka cha Taarab
Jahazi Modern Taarab
Kikundi cha mwaka cha kizazi kipya
Weusi
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Taarab
Enrico
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Kizazi kipya
Man Walter
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Bendi
Amoroso
Mtunzi Bora wa Mwaka – Taarab
Mzee Yusuf
Mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi Kipya
Diamond
Mtunzi Bora wa Mwaka – Bendi
Christian Bella
Wimbo bora wa Kiswahili – Bendi
Ushamba Mzigo – Mashujaa Band
Wimbo bora wa reggae
Niwe na Wewe – Dabo
Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Tubonge – Jose Chameleone
Wimbo bora wa Afro Pop
Number One – Diamond
Wimbo bora wa Taarab
Wasiwasi Wako – Mzee Yusuf
Wimbo bora wa Hip Hop
Nje ya Box – Nick wa Pili f/ Joh Makini & G-Nako
Wimbo Bora wa R&B
Closer – Vanessa Mdee
Wimbo Bora wa Kushirikiana
Muziki Gani – Nay wa Mitego ft Diamond
Wimbo bora wa ragga/dancehall
Nishai – Chibwa f/ Juru
Wimbo bora wa zouk /rhumba
Yahaya – Lady Jaydee
Hall of FAME Award
Hassan Rehani Bichuka
Masoud Masoud – TBC Taifa

About the Author

Write admin description here..

0 comments:

Pages

Proudly Powered by Blogger.
back to top