kweli via chapter. Powered by Blogger.

BLOG ZINGINEZO

Wednesday, April 30, 2014

SIKILIZA NA KUDOWNLOAD NYIMBO MPYA YA STEVE RnB INAYOKWENDA KWA JINA LA 'SHE DANCE'.

Posted by Unknown  
Tagged as:
1:49 AM


Mkali toka Tanzania ambaye yupo kwenye list ya Wanamuziki wanaofanya vizuri kwenye muziki wa Rnb,Watanzania wengi tulimtambua Steve Rnb baada ya kushirikishwa na Mr. Blue kwenye wimbo wa Tabasamu,huu ni wimbo wake mwingine mpya unaitwa She dance,usikilize halafu unaweza andika ulichokisikia juu ya wimbo huu ili baadae nae akipita asome.
Bonyeza play kusikiliza.

About the Author

Write admin description here..

0 comments:

Pages

Proudly Powered by Blogger.
back to top