Kitu kimoja kizuri na nilichovutiwa nacho kumhusu Chidi Benz ni jinsi anavyoweza kuthubutu. Msanii anapoweza kuthubutu ina maana kwamba anakua katika sanaa yake na ni sehemu ya ubunifu.
Kama utakumbuka,siku za nyuma kidogo Chidi aliwahi kuthubutu kukutanisha Hip Hop/Bongo Fleva na muziki wa pwani katika kibao Mashaalaah alichoshirikiana vyema na Mzee Yusuph. Mambo yakaenda swadakta.Mashalaah ni mojawapo ya track nzuri mpaka hivi leo.
Katika muendelezo huo huo, hapa Chidi Benz anamshirikisha Malikia wa Mipasho,Bi.Khadija Omar Kopa.Wimbo unaitwa Nampenda Sana.Usikilize hapo chini. Kisha toa Maoni yako hapo chini..!
http://www.youtube.com/watch?v=F3AP4qQIjKY
About the Author
0 comments: