kweli via chapter. Powered by Blogger.

BLOG ZINGINEZO

Thursday, April 24, 2014

MOJA KATI YA VIDEO KALI AMBAYO KAMA IKICHEZWA VITUO VYA BONGO HUWEZA KUFUNGIWA

Posted by Unknown  
Tagged as:
4:37 PM

Mwanzoni ikiwa inaanza unaweza kusema kwamba ni ya kawaida, sasa cha kufanya jump hadi dakika 2 na sekunde 34 ambapo kwanza utakutana na warning ya Close your eyes then kinachofuata ni balaa.Msanii huyu anaitwa Maheeda maarufu kama bad girl wa Nigeria na video hii ina kick sana youtube hivi sasa lakini kwa uhakika haitachezwa kwenye vituo vya nchi nyingi sana.
Msanii huyu anaitwa Maheeda maarufu kama bad girl wa Nigeria na video hii ina kick sana youtube hivi sasa lakini kwa uhakika haitachezwa kwenye vituo vya nchi nyingi sana.
  Itazame video hiyo hapa:
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=Y1y5exhypjc

About the Author

Write admin description here..

0 comments:

Pages

Proudly Powered by Blogger.
back to top