kweli via chapter. Powered by Blogger.

BLOG ZINGINEZO

Friday, April 18, 2014

GOZB AWAOMBA RADHI MASHABIKI WAKE

Posted by Unknown  
Tagged as:
4:25 PM

1600999_10202841699671119_590793045_n

Leo ndio siku ambayo msanii GOSBY aliwaahidi mashabiki wake kuwa atautoa wimbo wake mpya unaoitwa NAOGOPA, sasa muda mfupi katika account yake ya Facebook alituma status hii nainukuu hapa chini

“Napenda niwaombe msamaha wana, kwa kuwa sitoweza kutoa nyimbo yangu mpya {Naogopa} tena na leo kwa sababu kuna files tumekuja kugundua zimepotea, kwa hiyo kuna sauti nyingine hazipo sawa. Ninauwezo wa kutoa hii DEMO niliyonayo lakini sidhani kama itakua poa kwa sababu quality na baadhi ya sauti haziko sawa. Bado tunajitahidi kuzipata hizi files ili mwisho wa siku mpate kitu kizuri. God bless yall.”

About the Author

Write admin description here..

0 comments:

Pages

Proudly Powered by Blogger.
back to top